Fuata diet hii halaf angalia waifu wako asije akadai talaka kwa mziki.
Asubuhi kabla chochote pata tende about tembe tano mpaka 10.
before lunch pata 2 handful ya karanga mbichi (hazijachemshwa wala kukaangwa)
Lunch yako hakikisha inakuwa seafood sio meat.
Jioni chemsha oysters lakini zisiwive sana (about half Kg au hata robo) kisha tafuna na kula bure bure.
Halafu usiku kata watermelon na kula uwezo wako (weka gap baina ya msosi wako wa usiku na kulala, usilale umeshiba /sana)
Fanya ivo kwa 2-3 weeks halaf uje kutoa ushuhuda. Unaweza ukahitaji makufuli ya ziada kuvaa kazini, fanya shopping ya kutosha na hakikisha waifu ana nguvu za kutosha azawaizi waifu atakwenda kijijini kutembelea wazee bila holidei.