hivi zile 77,400/= kwa ajili ya vitu kama ID,exam fee etc tunavilipa vyote kwa pamoja yani kwenye pay in slip moja? pia ukiangalia lile jedwali la tution fee 2012/13 kuna baadhi ya koz sizioni yani kama ba of sc in actuarial sc.........naombeni msaada hapo:wacko:
hyo pesa unalipa yote kwa mkupuo. Na vile vile ada ya actuarial science ipo ndani ya ada zote za CONAS ambayo ni sh 1,300,000.... Kama umepata hiyo mkuu tutakuwa wote because na mimi nimepata hiyo hiyo. hope umenpata vizuri