mps
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 406
- 584
nilimwekea mdhamana mdogo wangu mtoto wa mama mdogo aliyekuwa anakabibiliwa na kesi ya madai ya kampuni ya airtel aliyoisababishia hasara ya tsh laki nane baada yapo jamaa katoloka na nimeambiwa kakimbilia mkoa wa mbali je nifanyeje ili kukiepuka kikombe hiki maana niko chuo kwa sasa na nahitaji kumalizia masomo yangu mezi wa sita naombeni uhauri weni wa kisheria