Kwakua ubongo unaodhibiti mwendo ni kama umepangwa kudhibiti mwendo wa kusimama, kwenda mbele kwa kasi au kwa kasi ya kawaida au chini, kinyume na hapo ni kuutingisha na kuhisi kizunguzungu hiyo inamaanisha baada ya umbali fulani Bolti atahisi kizunguzungu.
Na kwakua miguu haina shepu ya kukufanya ukimbie kinyume nyume kwa kasi huku ukiwa comfortable basi baada ya umbali fulani Bolti ataanguka.
Na kwakua binadamu tunapokimbia mikono yetu jinsi inavyoenda mbele na kurudi nyuma ndivyo inavyoamua kasi yako hiyo inamaanisha kwa kurudi nyuma Bolti hatokua na kasi kama angekua anakimbia kwa kwenda mbele. Hivyo atakua na kasi ndogo sana.
Ushindi ni dhahiri.