Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kiitikio....
Oh katikati kuna nini
Kuna watu wana party
Oh kati kati kuna nini
Kuna watu wana dance dance dance
Asante sana mkuu, nimehangaika sana aisee
Inanikumbusha enzi za Summer Jam kabla haijawa Fiesta!!Kitambo Sana!!
Summer Jam yes enzi za Clouds Efeme ndio habari ya mjini.Inanikumbusha enzi za Summer Jam kabla haijawa Fiesta!!