Nisaidieni jaman!

Christa

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Sijapata hedhi mwez huu lakin naumwa matiti,kichwa na kutoa ute mwingi.Nilipata hedhi tarehe 11 mwez wa10,mzunguko wa siku 30. Nimepima malaria& mimba tarehe 9 mwez 11 sina kitu. Je nini tatizo? Pia kipimo cha ujauzito kinaanza kuonesha baada ya siku ngap?
 


Case yako imekaa kama yangu ila mie tayari nilishapata hedhi. Mimi pia nilipata hedhi tarehee 11.10 mzunguko wangu ni siku 28 nilitarajia nipate hedhi tena tarehe 7.11, nkashangaa imepita tarehe 8,9 nimekuja kupataha hedhi tarehe 10 mimi pia nilikuwa matiti yanauma na ute japokuwa hakuwa mwingi nilipima pia mimba haikuwemo. sikujua hali hiyo ilisababishwa na nini maana siyo kawaida kupita siku 28.

Kwa kawaida wanasema kipimo cha ujauzito kinaanza kuonesha baada ya week mbili. Kama bado hujapata hedhi unaweza pima tena inawezekana uko mjamzito.
 

nitajaribu kupima tena, nasubiri zipite siku 7 baada ya siku niliyotarajia kupata hedhi mana mpaka leo zimepita siku 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…