Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Unaomba ushauri wa nini? Huyo dada anakuchuna live wewe huoni wala uhisi. Jinga nini? Achana nae baki na mkeo wa halali? Unachotaka kwa mkeo muombe uone kama hatakufurahisha. Eti umeinvest kwa nyumba ndogo? Ha ha ha umeliwa baba.
 
pale mwizi anapoibiwa na yeye...uchungu eeh??ukome....hio iwe kama somo kukurudisha kwa mkeo nyumbani.
 
Selfish.. every thing is not about you .

We una mke umeamua kula nje bila ye kujua
kuna ubaya gani kama huyo mdada na yeye
Anakula ... tena ningependa aendelee kukupa hard time mpaka atakapo kuacha ..

in other hand labda kakuchoka anakutema
Kiaina .. au kakudharau kwa kutokumuheshimu mkeo .. we unamwita
Nyumba ndogo ye anajiita mwanamke
Usikute kajiweka kwenye kiatu cha mkeo akaona huna cha maana ... anaomba
Asipate mwanaume kama wewe atakapo amua ku settle ....
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia maana sidhani kama kuna nyumba ndogo isiyoumiza kichwa dunia ya leo tulia na mkeo kaka hao viumbe vya kukamatia njiani huwa havina maana kabisa ni daladala kila mtu anaingia kwa nauli yake.
 
Hahahahaahaha! Don't make me fall for u gal! Au angezaliwa unga wa ngano tukatengneza pancakes!
Kwani we unaonaje?? Watu wengine nshiine kweli......... bora mama yako angezaa tu nanasi alafu akala na manesi walau wakaongeza afya kuliko hasara ya kiumbe kama wewe!!!
 

Nahisi ndo wewe mwenyewe.
 
na wew tangia uwe nae ushawahi kumpeleka kwako yan unakoishi na mkeo na ukamwingiza ndani? haya mambo ya nyumba ndogo yapo lakini si lazima na wew ufanye kwasababu yapo. ushauri wangu achana na hyo nyumba ndogo rudi kwa mkeo na hata kama unapmenda jiulize before her ulishawapenda wangapi na wako wapi kwa sasa na maisha yanaendelea kama kawa. mnatutesa jamani
 
yeye ni nyumba ndogo yako na wewe ni jumba ndogo yake kubwa ipo .ndugu yangu mapenzi anayokupa anakuibia tu hana lolote atakuvuna mpaka ubaki na araiyooo.rudi kwa mkeo.
 
Dah!nampa pole mkeo kwa kuangukia mikon mwa mwanaume katili km ww,hv mwanaume unajicfia kuinvest kwa kimada?badala ya wanao?mungu namakuone na kukuhukumu kwa matendo yako.
 
unawezaje kupenda watu wawili kwa wakati mmoja. Najua kwamba mkeo naye ana kuzunguka maana unaonyesha wakat wote upo na huyo kimada, kwahyo naye anataka wakumfariji.
 



acha kuniangusha mzee mwenzangu, kwani hayo yote ya kutaka kupajua kwake,

kukagua simu yake wewe yanakuhusu nini?Isitoshe kwakuwa wewe una ndoa yako basi,

sioni busara ya wewe kuyataka ya uvunguni kiasi hicho...............sanasana ni kutafuta balaa kwa ndoa yako.

kiukweli mie huwa nawashangaa sana wanaume ambao unakuta nyumba ndogo imekuchota akili mpaka hujui hili wala lile......

hapo mzee kama unapata ule utamu, basi ishia hapo achana na hizo za kujua anakaa wapi, kukagua simu yake na madudu ya

namna hiyo.....ukianza kufuatilia hayo ni kujiweka kwenye risks hatarishi...................


jamani hata kudance na nyumba ndogo kunataka skills , ama la huwezi acha, utaharibu!

ANGALIZO: ''sumu kubwa kuwa na wivu na nyumba ndogo''...................
 
kijana nyumba ndogo haitakiwi kuaminiwa hata siku moja...hiyo ni ya starehe tuu basi hamna chengine kakaka. simu yake iache wala usiulize...hakikisha hnachapa mzigo basi!!! nd never fall inlove wit nyumba ndogo.


Nduka nadhani umempata kwa uzuri hapo mzabzab....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…