Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Wee boza acha uchunwe!!!!!!!!!!!!! Unaanza je mwaka na mkanganyiko wa kujitakia?????????????
 

Mzinzi mkubwa wewe
 
yaani thread zingine hata sijui ushauri nini? una mke tayari lakini hutaki mwenzio aolewe, au unataka mke wa pili? kweli stupid...
 
Sasa dada Lizzy nipe solution!!! Nimesha invest vya kutosha.

Kwa nini una invest kwenye property usiyo na title nayo? Ni kama unajenga nyumba kwenye kiwanja cha mtu na unajiaminisha kuwa hiyo ni nyumba yako. Pole.
 
Pole sana, mbona naona kama unajitia gharama na Bp isio ya lazima? mkeo unampenda? ebu nieleweshe una m cheat vp mtu unaempenda? mkeo akikufanyia unavyofanya wewe na akikwambia anakupenda utamuelewa? usimfanyie mkeo mambo yasio mridhi
nyumba ndogo lazima itakua tamu sababu huyo mwanamke huko nae 24/7 na sorry to say this unaonekana mshamba wakupenda au ndio unajifunza u zinzi sasa umepata mjuzi anakupa vitu adimu ndio unapagawa, ebu kaa chini fikiria familia yako.
 
Lol jf jamani kuna mambo, unadhani atakaa akusubirie ukalale na mkeo usiku mzima anajikunyata peke yake? na yeye anaye wa kulala naye
 
Nikupe solution kwani umeambiwa mimi kimada mzoefu?

Aisee kumbe pamoja na majina bandia wengine tunafahamiana kwa undani humu jukwaani! Lizzy bro kaapa kuwa anakufahamu.
 
kwanini huangaike huko jamani! Njoo kwangu ukipenda utaingia hadi uvungunguni njoo baby njoooo
 
Aisee kumbe pamoja na majina bandia wengine tunafahamiana kwa undani humu jukwaani! Lizzy bro kaapa kuwa anakufahamu.

Bro gani. . . . . ?
Mwambie namkaribisha kahawa pale gengeni kwangu kesho.
 
Yeye ni nyumba ndogo yako na wewe ni yake. Kama ambavyo ukirudi nyumbani unafocus kumdanganya mke wako kwa makombo ya penzi ndivyo nae anavyofanya kwa wake.

he! Huwa yapo? hebu nielezee japo kiduchu Lizzy....happy new year😛oa
 
Bro gani. . . . . ?
Mwambie namkaribisha kahawa pale gengeni kwangu kesho.

Pambaf! Peleka ujinga wako kule! Nyumba ndogo ni pressure zisizo na sababu! Mzinzi mkubwa we!
 
naomba contacts za hiyo nyumba ndogo yako niishauri iwe na uaminifu kwako.
 
wewe si jina lako nduka jibatize ujiite NDUKI na utoki ndukiiiiiiiiii wa usitizame nyuma nenda kwa mkeo na boresha penzi lako au mkeo nae anaye kiganst kwani unakuwa unamyima fungu lake , sisi wanaume hatuwezi kumiliki wanawake 2 na tukafanya kazi za uchumi wa masaa8 na trafik jam za bongo , huo wakati uko wapi ??? WAKE UPP BRO
 
kwa akili hizo za kushikiwa ni lazima mtakufa wengi sana mwaka huu,
 
Aaaaaa mzeee usiangalie kumlizisha kwa kumpa zawadi na kumuudumia mahitaji yake yote, jiulize pia unamfikisha kwenye kilele cha mlima kilimanjaro?
 
pumbavu zako
 
Subiri siku utakayofumwa hapo getin ukimpick/drop na bonge la bauncer! Jitoe fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…