Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

iyo ni dhambi kubwa xana alafu ww umegeuzwa buzi ..,uyo demu hakupendi hata kidogo..angalia future yako na mkeo ..ucje ukaleta maradhi nyumban itakuwa c o fear..kip on ur mind kwmb ww hapo unachunwa tuu
 
duh afadhali hii cr@p ilinipita

sasa wewe unajisaidia barabarani halafu unakuja kuuliza huku tena??

signature ya invisibo ina meseji nzuri sana
 
Hebu achana na ufuska mwanaume,,stay with ur family maana huyo ulienae hawezi kuwa na lengo zuri na wewe,,atakumaliza..hebu muonee huruma mke wako mpenzi, lakini pia hebu muogope wako muumba....ova
 

hapo pekundu hata sijakuelewa unamaanisha nini.
Mim nadhan unayempenda ni huyo anayekuumiza kichwa.
mkuu jirekebisha kwanin ufanywe buzi wakati una mke unayedai unampenda?
 
mpige chini mbona wapo wengi tu kwani lazima awe huyohuyo,pia tabia ya kuingia mzima mzima kwa nyumba ndogo inaku cost kuwa mjanja bhana ,ndio nyie mnaowanunulia nyumba ndogo masofa wakat kwako unakalia mambao lazima ikuume,shtuka
 
Pole kwa sababu upo nje ya maadili ya ndoa halafu unataka ushauri,??????? Huoni kwamba unataka kutushikisha uzinzi wako????

Endelea huku ukifahamu kwamba kwa hapa Duniani ukimwi na magnjwa mengine ya zinaa ndio mshahara wako na pili baada ya kifo cha mateso ni jehanamu ya moto
 

Proffessional fool!Mpende sana tu si anakupa penzi tamu?Mtaka cha uvunguni sharti ainame, so vumilia yote. Kwani we si una mkeo na usiku kucha unalala kwa raha, sasa unategemea yeye afanyeje?I believe na yeye anaye wa kumpa mambo wakati we uko na mkeo. Usiwe na wivu kama vile wife anavyoshare wewe na huyu dem ndo hivyo hivyo mwa/wa (naume) wenzio wanashare na wewe uyo dem! Hii iko powa sana.
 
kama kwa nyumba ndogo una wivu hivyo kwa mkeo wivu ukoje??
tatizo nyumba ndogo hazikwepeki ila namna ya kuzihandle tabu kweli nyingine ziko kama kambale...
kama inazingua sana piga chini kwasabau lengo la nyumba ndogo si kuongeza presha ni kuipunguza au kuimaliza kabisaa
 
mmmh bila hata haya ...kweli dunia ya sasa sio dunia tuliyoishi miaka ile ....kizazi kinateketea
 
@Walimweusi! Like, like n like

BTT
If you think Nyumba ndogo has only you for a lover; think again!
 
Ana wake kama ulivyo na wako. Ukiwa na nyumba ndogo hutakiwi kuwa na wivu.
 
Wewe unamcheat mkeo halafu unataka nyumba ndogo awe mwaminifu kwako?

You can't have your cake and eat it too bruh! Get a grip.

inashangaza kweli mwizi anataka mwizi mwenzie aache wizi na aokoke he he he he he he he
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…