Nisaidieni jamani kuhusu chuo kilichopo dar kinachotoa hii kozi

Nisaidieni jamani kuhusu chuo kilichopo dar kinachotoa hii kozi

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Nawaomba msaada wakuu kuhusu chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha ile itolewayo kwa miezi sita ili my wife ambaye kamaliza diploma ya nursing aweze kuisoma. Naomba ikiwezekana chuo kiwe located temeke. Lakini hata kama kitakuwa karibu na temeke sawa.
 
Angalia Eagle Wing Training College, nadhani wanatoa wapo Kariakoo jengo moja na Akamba opp. na Police post unapotokea Mbagala.

Eagle Wings Training Colleges


Pia, pale Mtoni Mtongani kuna vyuo viwili kuna Genesis na kingine kiko upande wa sokoni kule kimojawapo kinatoa kozi hiyo.
 
Back
Top Bottom