Nisaidieni jamani kuhusu hili!!!

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
811
Reaction score
396
Jamani eti kuna uwezekano wa kumtoa msichana bikira halafu asitokwe na damu!!? maana me sielewi
 
yah....bikira huwa mara nyingi ina kauka.....
 
Bikira sio lazima atoke damu, kumbuka michezo mingi ya utotoni kama kupanda baiskeli n.k huondoa bikira....

Je alipata maumivu makali wakati mnaduu? If yes inawezekana kweli ni bikira, ila kama ulipata ushirikiano wa kutosha, na akakukatia viuno, mkabadili style zote ujue umeliwa....

By the way hongera, eid umesherekea kwa utamu, loh
 
mleta mada yawezekna kabisa kumbikiri mtu ila asitokwe na damu. mfano binti wengi waliokulia maisha ya vijijini kazi ngumu kama kupanda juu ya mti kukata kuni kuendesha baiskeli hufanya vile vi hyphen kuwa weak zaid na pengine vinatoweka bila hata kuingiliwa kimwili. Binti wa namna hii huwa hana tofauti na yule ambaye hivi vi hyphen vipo ila tu huyu hatatokwa na damu kama akiandaliwa vizuri ili asichubuke lkn atakuwa na maumivu makali wa tendo la siku ya kwanza hadi azoee.

usikarii kwamba kila bikra lazima atokwe damu. mfano kuna incidence labda binti kapata PCO AMBAZO ZIMELEAD KWENYE DYSIFUNCTIONAL BLEEDING, kitabibu itabidi wamfanyie D&C hata kama ni bikra sasa wafikir utaikuta tena? yapo mazingira mengi sana ila tu ubikira wa mtu ni uaminifu wake ulioko moyoni basi.
 

Hakuna ushirikiano wowote zaidi ya kutiwa makucha shingoni na kumwagiwa machozi!!!!
 
 
 
 
Umenena vema!



 
 
Umenena vema!
rutta nakumije sasa idi hii? hivi hata salam tu imekuwa ngumu? lol basi pokea za kwangu zikiwa zimejaa upendo na baraka na maombi ya kufanikiwa ndani ya kapu la salam za jf. ujumbe ukifanikiwa usinisahau
 
Last edited by a moderator:
Ujuzi hauzeeki na elimu haina mwisho,leo nimejifunza mawili matatu hapa.
Eid mubarak wana mmu.
 
rutta nakumije sasa idi hii? hivi hata salam tu imekuwa ngumu? lol basi pokea za kwangu zikiwa zimejaa upendo na baraka na maombi ya kufanikiwa ndani ya kapu la salam za jf. ujumbe ukifanikiwa usinisahau

ooooooooh unajua nilikuwa nasoma hii nondo yako hata kukupa salam ya Eid nikasahau lol

Eid mubarak

Asante kwa baraka nawe zikufate pia, furaha iongezeke bila kusahau busara na upendo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…