Nashauriungechukua hatua uende kwa dakatari mzoefu na mtaalam wa meno atakupa ushauri na jambo la kufanya kunusuru meno yako,ila pia wataalam wa miti shamba wanaweza kukusaidia kuutatua tatizo lako;nilimsikia Dr Dondi akishauri kusukutua meno yako kwa kutumia matunda flani ya porini inaitwa 'ndulele' [sijui kama inaandikwa hivvyo] pamoja na limau baada ya kuswaki usiku kabla ya kulala,alaishauri baada ya kusukutua na hayo maji yenye mchanganyiko huo,usisukutue na maji haya ya kawaida,fanya hivyo kila siku mpaka utakapojisikia ahueni