Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
wakuu kama siku tatu hivi zimepita kuna mwanamke ambaye nilikuwa nawasiliana naye.Najuzi usiku akanialikwa kwake nikaenda usiku na tukapiga stori na nikalala kwake hadi asubuhi,kama mida ya yaa 12 asubuhi nikaamka nikaondoka zangu..mchana wote tukawa tunawasiliana vizuri tu.. na asubuhii ya siku ya pili yule mdada akanipigia simu asubuhi kama saa nne kwa sababu alikuwa anasafiri na flight yake ilikuwa ni saa sita akawa amekasirika ananitukana ,akaniambia kuwa niliacha condom ndani yake wakati tuna do,lakini mimi nakumbuka wakati tuna do nilijishtukia condom haipo nikadhani imepasuka ,sasa tishio ni kuwa kama akipata mimba atanitafutia watu waje kuniua na anadai alikuwa kwenye siku zake ...mpaka sasa hivi sijui bado nifanyeje.
na hii ndio meseji aliyinitumia kabla ya kunipigia simu na kutishia kuniua:
""Omg, man, I'm so angry with you!!! You left a condom inside me!!! What have you been thinking of??? And which one was it? I hope not the one you cumed with??? Cuz if it's the last one, you could get me pregnant!!! Why didn't you tell me it happened?!!!! It's was so ****ing selfish of you... Omg, I'm gonna cry now... You f***d me and left a condom inside me!!! F**!!! Man, it's sooooooo very bad!!!'""
na ni kweli iliyobaki ndani ndio hiyo ambayo mimi nilindani imepasuka
 
We muue kabisa else utaendelea kutishiwa mpaka akuue kweli umeona shinyanga naa kama umezaa peleka watoto kwa wakwe mapema kabisa atutaki kuaga watoto wasio na hatia na hii ni kosa mnalofanya we anakutishia siku ya mwisho unasikia kwenye redio jamaa kafanza kweli wht nexty kama hawa akiitishia we anza nae bora aanze kuliko aje kuwamaliza familia

pole sana kuna chumba huku tandale 12,000 mi ntakuchangia 200 kwa mwaka ukiwa sirias ni pm
 
we mbona mkubwa lakini una story za kitoto, hawezi kukua, wote watu wazima kama akipata mimba ndio vizuri mnapata mtoto
 

WAZUNGU WANASEMA WELL NOTED
Yaani afande ushauri wa mwanzo kapime ngoma kwanza ..pole sana mengine nitakujibu ukinirletea majibu cya kesho si unajua mabwana zetu mwisho kuminamoja
 
Nimekumbuka ile thread yaani "watu wanaogopa mimba kuliko ngoma"..lol
Back to the topic na wewe mtishie ivyo ivyo....!
 

sina watoto bado
 
we mbona mkubwa lakini una story za kitoto, hawezi kukua, wote watu wazima kama akipata mimba ndio vizuri mnapata mtoto

mkuu naomba unielewe huyu mdada yeye ndio hataki kuipata hiyo mimba
 
WAZUNGU WANASEMA WELL NOTED
Yaani afande ushauri wa mwanzo kapime ngoma kwanza ..pole sana mengine nitakujibu ukinirletea majibu cya kesho si unajua mabwana zetu mwisho kuminamoja

nipo fresh na mwanamke alikuwa sipo kiwembe so kwenye suala la ngoma hapo hakuna shaka mkuu
 
Its up to you, if want to be become a father......, na kumbuka kuna tofauti kati ya baba na sperm donor......, Kuhusu kukuua ni hasira za haraka tu zitakwisha please dont suggest abortion au dont force that she keeps the baby whichiever way hii ni decision yenu wawili and since yeye ndio atakuwa na mtoto tumboni awe na more say.
 
Yaani na ukubwa wote huo unatishiwa kufa nawewe unaamini we mwanaume wa aina gani?? Akuue kisa umempa mimba?? Mmmhh hiki ni kichekeshoa na akiwa na mimba na ukimwi itakuwaje??? Kapime ngoma kwanza mengine yafate mzae huyo mtoto yaishe. Halafu uache tabia za kitoto we mkubwa sasa uliona wapi mtu mzima anatishiwa nyau akaogopa??
 
asante bbut hata yeye mwenyewe alisema kuwa hataki kufanya abortion na hataki hiyo mimba kwa sasa but al in all ni kuwa bado hatuna uhakika kuwa atapata mimba au hataipata ..kwa sababu tumekutana kama siku tatu hivi zimeisha
 
Sasa kama Condom ilipasuka ulivaa nyingine ya nini sasa? si ungeendelea hivyo hivyo tu! then asikutishe na mikwara ya kitoto mara nyingi wale wanaosema nitakuua asilimia 70% huwa sio kweli so dont ogopa mkwara wa mende kuangusha kabati kaka... Get your popcorn and enjoy da DOWAN'S move incase akikupigia tena mwambie una nyege na umemiss sana ilekitu...

IVUGA bana unanilet down kichizi m2 wangu yaani unapigwa mkwara kwenye simu na unaukubali aisee...!
usirudie tena ...
 
asante bbut hata yeye mwenyewe alisema kuwa hataki kufanya abortion na hataki hiyo mimba kwa sasa but al in all ni kuwa bado hatuna uhakika kuwa atapata mimba au hataipata ..kwa sababu tumekutana kama siku tatu hivi zimeisha

Kweli kabisa ndugu this is a delicate matter.... we chakufanya kuwa naye and support her in every decision she makes... mfano ukiforce abortion alafu baadae ashindwe kupata mtoto hatakusamehe kamwe... au ukiforce azae maybe she is a career woman when things go wrong she might end up hating you and the child..... wewe give her all the support she needs na mawazo yake uyatekeleze as you have talked about flight utakuwa upo mtoni am sure kuna morning after pills na kama ni UK NHS they can deal with the issue better
 
bado hajapata mimba na swala la ngoma halina tatizo kwani sehemu tuliyopo tunapima mara kwa mara so hakuna swala la ukimwi hapo tatizo ni akipata mimba tu basi..
 

mkuuwewe hujapata picha huyu mdada alivyonipiga mkwala alinitukana mwanzo mwisho nimeomba msamaha nahataki kunielewa sasa nimekaa tu hapa naomba asipate mimba na badae kama vipi nitaweka picha yake ili hata nikipotea mjue nani kampoteza mwana JF
 
Mimi nilidhahi atakuua kwa kumwambukiza ugomjwa wa zinaa kumbe mimba, huyo dada nadhani anamatatizo ya akili mimba ipo kwake then akuuwe wewe mbona asiseme atatoa hiyo mimba bado ikiwa changa. Anyway nakushauri katoe taarifa polisi kwa uslama wako usije ukakuta alikuwa na mpanga wa kukutoa uhai siku nyingi ila alikuwa anatafuta jinsi ya kukuanza. Pia kitaalamu condomu ikibaki nadani ya uke ni rahisi sana kwa mwamke kuhisi kwahiyo hiyo kauli yako kwamba ilibaki ndani halafu ukavaa nyingine na ukaendelea na tendo inabidi wataalamu tufanye utafiti upya kama uliyoyasema ni kweli.
 
swala la kumeza pills alikuwa ashachelewa manake kama ninavyojua hizi pills angetakiwa aemze kabla ya masaa 72 so ilikuwa tayari too late
 

hta mimi sijui kuwa aligundua saa ngapi kuwa condom ilibaki ndani ila yeye kanipigia smu na kunitumia meseji siku ya pili yake asubuhi
 
swala la kumeza pills alikuwa ashachelewa manake kama ninavyojua hizi pills angetakiwa aemze kabla ya masaa 72 so ilikuwa tayari too late
Next time kuna kitu kinaitwa morning after pills hizi anaweza akameza i think 12 au 24 hours after na sio kabla, next time uwe nazo hizi kwenye ammunition yako as i have seen wewe ni mpiganaji mzuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…