nisaidieni jamani mwenye kujua dawa ya hii kitu

ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo shingoni sasa vinaanza kutokea usoni.

Jaribu kupima damu mayb mchafuko wa damu,au aleji ya vyakula,ukishindwa kabisa nenda kwa maspecialist wa ngozi haraka kabla havijatapakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…