KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
<br />Mkuu hata mm naisaka sana hiyo kitu but pale dit kuna short course inaitwa communication system design still naifuatilia
<br />Mkuu jaribu Rusia, China, Japan na Korea. Kumetulia sana. Bongo labda kama matokeo yako siyo safi sana ndo inabidi ukomae kibishi kibishi ila unaweza kuishia kupata stress tu hata hayo maujuzi usiyapate bongo. Kama uko tayari tuanze mchakato wa kukutafutia mazaga zaga ya nje uruke fasta mwakani january huyoo unapiga lugha kwanza mwaka mzima.
<br />
<br />
Mkuu hiyo short course inaghalimu muda gani na gharama yake ni sh ngapi?.Pia tofauti na hapo hakuna? Chuo kingine?
Wana wa JF mambo vp? Natumai hamjambo.Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kimawazo kwa wanaofahamu kwa hapa kwetu Tanzania ni wapi nitakapopata elimu juu ya maswala ya mawasiliano ya satelite hasa kwa upande wa Radio Televisheni na intaneti.
Nianayo hamu sana ya kuyafahamu mambo hayo