nisaidieni jamani shida ni nini?

Kalleya

Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
28
Reaction score
13
ni mwaka wa 6 sasa mimi na mke wangu hatujamtafuta mtoto mwingine na hatujatumia njia yoyote ile ya uzazi wa mpango.
sasa tumbo linamuuma sana tu kama wiki sasa (hii ni baada ya kuanza harakati za kutafuta mtoto mwingine) inakuwaje tumbo kuuma?
 
Mkuu uyo ni mkeo na kwa mda wote mlikuwa mnalala kitanda k1 mlikuwa mnatafta nn? Au mtoto anatafutwa nje yakitandani ?
ni mwaka wa 6 sasa mimi na mke wangu hatujamtafuta mtoto mwingine na hatujatumia njia yoyote ile ya uzazi wa mpango.
sasa tumbo linamuuma sana tu kama wiki sasa (hii ni baada ya kuanza harakati za kutafuta mtoto mwingine) inakuwaje tumbo kuuma?
 
Fyne . Akafanye vipimo USS mhimu na navinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…