nisaidieni jamani waungwana!

deprettyG

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
42
Reaction score
2
kati ta course ya secretary na tourlism ipi inafaa,upatikanaji wake wa kazi,,na hata kwa manufaa yangu mwenywe hat kuweza kujiajili!!???plllzzz help me
 
tourism ni nzuri zaidi kwani upo kimaslahi zaidi..ila ajira ni ngumu kdogo kupatkana..khs kujiajiri itategemea na uwezo wako ulonao,maana kujiajiri thru tourism>labda kwenu muwe na mbuga ya wanyama au vivutio vngne,
 
thankx!!
 
Proffesion zote ni nzuri,ila ingekuwa vyema zaidi kama utasoma chuo cha serikali kama utapata nafasi,itakuwa rahisi sana kwako kuweza kuingia serikalini.pia tafuta ndugu au rafiki zako wanaofanya kazi hizo uwaulize na upime....fanya kile unachopenda zaidi kwa maana utakifanya kwa ufanisi zaidi,na hiyo itakuletea uzoefu haraka zaidi na utalipwa vizuri kama utaimudu kazi yako vyema na kuipenda .....kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…