Nisaidieni jamani

Mwemary

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Posts
330
Reaction score
340
Nina mke ambae tumebahatika kuzaaa mtoto mmoja tangu 2014 lakini kwa bahati mbaya aliweka vijiti kama njia ya uzazi wa mpango lakini nimekuwa nikimshaghuli kuhusiana na kupata mtoto mwingine hataki kunisikia na ugomvi hutokea. sasa nahitaji msaada wa kuyaondoa hayo madawa mwilini bila ya yeye kujua
 
Huyo ni mkeo kweli yani uondoe bila yeye kujua? Pole tafuta wazee kwenu wakushauri.
 
Uyaondoe bila yeye kujua? una ujinga kiwango cha lami
 
Zaa nje atapata adabu
 
Pole mkuu inaonekana game za nje anaruhusu sana ndio maana ataki atoe ila awe huru kufanya yake wakati wewe ukiwa busy na utaftaji wa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…