wewe mwache kama unamwacha....
ila hapa hamna wa kumdiss ili uone ni sawa kumuacha.....
maana ndicho unachokitaka....
kwa kukusaidia hatuangalii urembo wa nje tunavyochagua wenza.....bali chemistry if she is making you happy thats what matters......
kesho utamuopoa mtu ana figure namba nane,kehokutwa atazaa watoto shape itaharibika utamuacha pia??????.....au wewe mama yako bado ana umbo kama alivyokuwa msichana pamoja na ku go menopause????.....anyway nahisi utineja bado unakusumbua,maana hao ndio wanaringishiana kuwa na 'demu mkali' wa kuendea disco,lol soon ukikuwa kidogo utayaona maisha katika hali halisi.....