Nenda tu Hosp kaka! Na pia wanaume wazingatie Sana! Kuna baadhi wanapata magonjwa yazinaa hata km hawajafanya hicho kitu! Kuna ile tabia yakukojoa pembezoni mwa nyuta!
Afu mtu akishakojoa anashika uume wake sehemu ya juu anapangusia pale ukutani kwa madai anafuta mkojo! Jaman hapa MTU pia anaweza akapata maambukizi.