Kwanini usubiri? Umemaliza kozi ya ualimu?
Nenda shule ya jirani kaombe wakupe nafasi ya kufundisha
kwa muda; watakupa pesa ya kujikimu;
Pia angalia uwezekano wa kuwasaidia madogo wa hapo mtaani kwa
kuwapa tuition, watakulipa pia;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.