nisaidieni kama unajua ndugu

rizright

Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
9
Reaction score
1
naomba kujua chaguzi za ualimu ni lini kwani nimechoka kusubili. bora npige kaz zingine bwana.
 
Kwanini usubiri? Umemaliza kozi ya ualimu?
Nenda shule ya jirani kaombe wakupe nafasi ya kufundisha
kwa muda; watakupa pesa ya kujikimu;
Pia angalia uwezekano wa kuwasaidia madogo wa hapo mtaani kwa
kuwapa tuition, watakulipa pia;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…