Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 Mar 26, 2016 #1 mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula hakina chumvi kabisaa, tatizo ni nn
mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula hakina chumvi kabisaa, tatizo ni nn
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Mar 30, 2016 #2 Uwekaji wa chumvi weka kidogo kidogo kidogo huku ukionja hadi ikolee Kumbuka kuna baadhi ya vyakula hukolea chumvi mara moja so kuwa makini ukiweka chumvi,mfano wa hivyo vyaku ni;- 1)maini 2)maharage 3)na baadhi ya mboga za majani Kama mchicha
Uwekaji wa chumvi weka kidogo kidogo kidogo huku ukionja hadi ikolee Kumbuka kuna baadhi ya vyakula hukolea chumvi mara moja so kuwa makini ukiweka chumvi,mfano wa hivyo vyaku ni;- 1)maini 2)maharage 3)na baadhi ya mboga za majani Kama mchicha
meku7 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 375 Reaction score 266 Mar 30, 2016 #3 Nimeku miss @farkina upo kimya now dayz
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Mar 30, 2016 #4 meku7 said: Nimeku miss @farkina upo kimya now dayz Click to expand... Ahsante kwa kuni miss pirika tu ndugu yangu ntarudi soon inshallah
meku7 said: Nimeku miss @farkina upo kimya now dayz Click to expand... Ahsante kwa kuni miss pirika tu ndugu yangu ntarudi soon inshallah
meku7 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 375 Reaction score 266 Mar 30, 2016 #5 farkhina said: Ahsante kwa kuni miss pirika tu ndugu yangu ntarudi soon inshallah Click to expand... Amina
farkhina said: Ahsante kwa kuni miss pirika tu ndugu yangu ntarudi soon inshallah Click to expand... Amina