magician's codeII
Member
- Dec 22, 2011
- 26
- 1
tutafutane. UMEPATA.mamboz wana blogg!!
Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia ila receptionist kaniambia yani hiyo nafasi ni moja na zaidi ya barua 500 zimeshapokelewa...duh nilichoka maana hata mkoani am so ready to work.sio kawaida jinsia ya kike kukubali kufanya kazi mikoani ila mimi am ready jamani whoever has a lead just help out by replying me here.
Mamboz wana blogg!!
Jamani mie nimetafuta kazi hadi hamu inaisha...mimi nina advanced dip ya i.t ila natafuta kazi kwenye mashirika au n.g.o's.Juzi juzi tu nimeomba egpaf na nilikuwa nafuatilia ila receptionist kaniambia yani hiyo nafasi ni moja na zaidi ya barua 500 zimeshapokelewa...duh nilichoka maana hata mkoani am so ready to work.sio kawaida jinsia ya kike kukubali kufanya kazi mikoani ila mimi am ready jamani whoever has a lead just help out by replying me here.
tutafutane. UMEPATA.
IT ina matawi mengi. kama una uwezo wa kutengeneza websites, simple databases, various Excel templates etc unaweza kupata market kwa sababu kuna watu walio na biashara ndogo wanatamani kupata simple computer databases na templates za kuwawezesha kuweka hesabu na records zao vizuri. So I believe ukikaa chini na kutafuta watu kuongea nao unaweza pata ideas za kufanya. fanya hivyo wakati unatafuta kazi ya kuajiriwa (maana it seems unataka kuajiriwa).Acha kuogopa maisha ww..komaa bana, ebo..!!! I.T ndio kila kitu bana kama vipi anzisha kiofisi chako, jiajiri mwenyewe....ajira za kutuma maombi ya kazi hakuna siku hizi
Mh imefika wakati 2anze ku2ma maombi yakazi ikulu, ili uyu baba riz1 ajue wenye uchu na hela c watoto wake 2, au kama vipi masharti ya mabenki kwenye mikopo yapunguzwe kwa vijana!