Nisaidieni kibarua/kazi

Nisaidieni kibarua/kazi

Mzee Mambo

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
29
Reaction score
18
Habari WanaJF.
MIMI ni kijana wa kitanzania, umri miaka 25.
Makazi: UBUNGO Dar es salaam

Elimu: Shahada ya usimamizi wa majengo na nyenzo. (2021).....Elimu sio kipaumbele changu hapa.


Naombeni mwenye connection ya kibarua/kazi anisaidie, ili niweze kukimu majukumu ya familia yangu.

Nipo tayari Kufanya kazi yoyote ya halali isipokuwa ya ndani pekee.

Natanguliza shukrani kwenu.
Asalam.
 
Angalia maeneo yako hayo kama kuna eneo twaweza weka kijiwe cha kuuza supu nije na mtaji tupige kazi!
 
Back
Top Bottom