nina nia ya kueneza CHADEMA,naombeni basi katika avatar badala ya kuweka picha yangu. Niwekeeni maneno: www.chadema.net sambamba na jina langu jamani. Au nipeni tuition kama aliyonipa SteveD
nina nia ya kueneza CHADEMA,naombeni basi katika avatar badala ya kuweka picha yangu. Niwekeeni maneno: www.chadema.net sambamba na jina langu jamani. Au nipeni tuition kama aliyonipa SteveD
HERI WEWE UMEKUWA MUWAZI ZAIDI.....!NAOMBA NIKUPE USHAURI WA KUKUSAIDIA KISIASA KAMA ULIVYOOMBA! NYERERE ALIWAHI KUSEMA CCM SI MAMA YAKE......NA CCM ILPOKOSEA ALIKUWA HODARI WA KUKOSOA(kumbuka yeye bado alikuwaccm)....VIONGOZI WALAFI ALIKUWA KINYUME NAO HATA AKADIRIKI KUSEMA ATARUDISHA KADI IKIWA WATAPITISHWA KUGOMBEA.....HATA IKAFIKIA KUDIRIKI KUSEMA KIONGOZI BORA ATATOKA CCM......ALISEMA HAYA KWA KUWA HUKO CCM(those days) KULIKUWA NA KUKOSOANA PALE MTU ANAPOKOSEA PASIPO KUJALI NI MWANA-CCM......HALI HAIKUWA HIVYO KWA VYAMA VINGINE.......KUMBUKA RASKAZONI SAGA,MAPALALA ISSUE ETC.....!
HIVYO BASI ILI USAIDIWE KISIASA UWE NA MSIMAMO WA KUTETEA HAKI,UADILIFU,WANYONGE, NA SI CHAMA,HAPO ITAFUATIWA NA OMBI ULILOLITOA HAPO JUU....! TUNAELEWANA WATANZANIA...!