blessing 18
Member
- Jan 17, 2012
- 5
- 0
Nina rafiki yangu ameoa na anawatoto wawili. Tatizo mke wake anamdharau sana hamsikilizi kwa lolote lile. Wakati mmewake anawatunza yeye pamoja na ndugu zake. Ukiangalia kaka huyu hana ndugu kwani wazazi wake walifariki toka akiwa na umri mdogo akalelewa na watu baki na si ndugu zake, alipomaliza masomo na kupata kazi akaamua kuoa ili aweze kufarijika matokeo yake amezidi kujiongezea matatizo
Rafiki yangu huyu anataka akimbilie nje ya nchi amwachie mwanamke nyumba na watoto.
Naleta kwenu swala hili tusaidiane
Rafiki yangu huyu anataka akimbilie nje ya nchi amwachie mwanamke nyumba na watoto.
Naleta kwenu swala hili tusaidiane