Nisaidieni kuanza biashara ya m.5 Morogoro

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Wakuu naomba ushauri naitaji kuanza biashara ya aina yoyote inayoweza kunitoa kwa mtaji wa sh.milioni tano makazi yakiwa Morogoro.Nasubiri mawazo yenu niweze kuyafanyia kazi,nitafurahi yakiwa na uchambuzi wa kina.
 
vp hakuna mjasiriamali mwenye uzalendo wa mawazo kwangu
 
Fursa zipo nying cha muhimu kujiamini na kujikubali m.5 ni pesa nyingi sana ambazo ukitulia na kufanya yako kimakin unaweza kufanikiwa kibiashara.angalia fursa ya hapo ulipo then utapata jibu biashara gan ufanye. Angalia kitu gani kinakosekana au kinapatikana kwa tabu ambacho watu wanakitumia sana. Ni hayo tu.
 
Asante sana kwa ushauri wako nataufanyia kazi.
 
una ujuzi,utaalam,elimu gani? jibu hilo swali kwanza.

Nina elimu ya kidato cha nne,certificate ya driving,certificate ya tour guide,nina shamba Kauzeni Morogoro kama hekari 4.Kwa sasa nafanya kazi ya driving Kahama Shinyanga.Vilevile nina ujuzi wa ushonaji wa nguo aina yoyote.
 
una option 3 inabidi uchague moja ambayo unaipenda kati ya kilimo, ushonaji na driving kama ni driving anzisha driving school yako au fanya kilimo au fungua mradi wa ushonaji.
 
Wakuu naomba ushauri naitaji kuanza biashara ya aina yoyote inayoweza kunitoa kwa mtaji wa sh.milioni tano makazi yakiwa Morogoro.Nasubiri mawazo yenu niweze kuyafanyia kazi,nitafurahi yakiwa na uchambuzi wa kina.

kula hiyo pesa ukose hela natumai utajua cha kufanya,tena litakuwa wazo jema kutoka kwako,anza sasa kuzichoma hizo yahaya moja baada ya nyingine
 
Wakuu naomba ushauri naitaji
kuanza biashara ya aina yoyote inayoweza kunitoa kwa mtaji wa sh.milioni
tano makazi yakiwa Morogoro.Nasubiri mawazo yenu niweze kuyafanyia
kazi,nitafurahi yakiwa na uchambuzi wa kina.

wekeza kwenye biashara ya utalii,hasa milima ya uluguru,kuna batcamp,mikumi,milima uluguru,watu wengi hawajawahi kujaribu huku,hebu fikiria kdogo unaweza kutoka
 
Nina elimu ya kidato cha nne,certificate ya driving,certificate ya tour guide,nina shamba Kauzeni Morogoro kama hekari 4.Kwa sasa nafanya kazi ya driving Kahama Shinyanga.Vilevile nina ujuzi wa ushonaji wa nguo aina yoyote.

chezea hapo in red utapata jibu
 
nilisahau na hapo kwenye tour guide you can do somethin as far as your knowledge is concern.
 
Thanks, wadau naendelea kupokea mawazo na kuyafanyia kazi hatimae nipate nitakaloweza kulifanyia kazi kwa ufanisi.
 
hizo millioni tano ukiwekeza kwa ufugaji wa kuku zaidi ukianza na kuku wa kienyeji safi kwenye hizo heka nne zako,kama upo tayari saniemmanuel45@gmail.com my email ni mwanafunzi mwaka wa 2 chuo cha mifugo lita mpwapwa mwka wa pili
 
Nimekupata mkuu nitawasiliana nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…