Hii contract ni ya mwaka mmoja. Na insuance bond pia itakuwa ya mwaka mmoja. Riba ya bond ni 250,000 kwa mwaka. Nimajaribu kuongea na manager husika lakini it is like hana maamuzi. Though, akisoma contract pia nae anagundua kuna kasoro. Manager makao makuu hapo Dar ananirudisha mkoani, na wa mkoani ananirusha kwa zonal manager, zonal manager ananirusha kwa wakili wao. Navyoomba contacts za wakili wao hawatoi. Tena huyu manager na Zonal manager hawataki hata kunisikiliza. Licha ya kwamba contract inasema hivi kwenye kifungu cha settlement of disputes "The parties shall use their best efforts to settle amicably all disputes arising out of or in connection with this contract or its interpretation" manager alieajiriwa na serikali kuwatumikia wananchi anasubutu kwambia that "pls just get out of my office sio mimi niliotunga huo mkataba rudi makao makuu. inavunja moyo sana. Hao ndio Tanesco yetu.