Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 249
VOR, hii ni contract ambayo nashindwa kuelewana na wahusika.Mawakili wawili wameupitia huo mkataba pia nao wakaniambia kuna two options hapo.
Lakini (Value of not less than one week average hapa inategemea kwa wiki utatumia bidhaa za value gani unaweza ukatumia 5m; 10m; 15m or 20m😉 hapo mkuu uko sahihi kabisa. baada ya kupata hicho kiasi ndio agent anapata constant amount ya kununua kila wiki. Kama utanunua zaidi ya mara moja kwa wiki hapo 10m au zaidi inakuhusu. hapo unaona vipi?
Depends mwisho wa siku interest ya bond ni kiasi gani na kama kuna option ya kuchukua chini ya mwaka that is better.. kwahiyo inabidi uangalie mwisho wa siku itakucost kiasi gani... Sababu kama hii Contract ni ya mwaka then 10m x 4weeks x 12 = 480millions hii ndio minimum investment kwa mwaka wa hii biashara. Sasa hapa inabidi uone kama profit itakuwa kubwa kuweza kulipa deni na interests incurred from the Bond.bond from insurance ya 10m kwa muda wa mwaka mmoja. Ili nifanye biashara ndio nilipe based on the bond. Do you think this will be a better option kwavile sina pesa taslim?
Hii contract ni ya mwaka mmoja. Na insuance bond pia itakuwa ya mwaka mmoja. Riba ya bond ni 250,000 kwa mwaka. Nimajaribu kuongea na manager husika lakini it is like hana maamuzi. Though, akisoma contract pia nae anagundua kuna kasoro. Manager makao makuu hapo Dar ananirudisha mkoani, na wa mkoani ananirusha kwa zonal manager, zonal manager ananirusha kwa wakili wao. Navyoomba contacts za wakili wao hawatoi. Tena huyu manager na Zonal manager hawataki hata kunisikiliza. Licha ya kwamba contract inasema hivi kwenye kifungu cha settlement of disputes "The parties shall use their best efforts to settle amicably all disputes arising out of or in connection with this contract or its interpretation" manager alieajiriwa na serikali kuwatumikia wananchi anasubutu kwambia that "pls just get out of my office sio mimi niliotunga huo mkataba rudi makao makuu. inavunja moyo sana. Hao ndio Tanesco yetu.