Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Baada ya matokeo ndio unaruhusiwa kuomba,nakushauri urudi jukwaa hili baada ya matokeo tafadhali
HESLB wanaanza kupokea maomba Mei 1 hadi Juni 30, period.
huyu bwana mdogo anajiamini sana safi sana kijana kama upo dar tembelea ofisi ya tcu zilizopo mikocheni karibu na rose garden hotel na zile za bodi zilizopo kimweri road tirdo complex msasani ila kama upo mkoani ingia kwenye website yao ambao ni Home - Tanzania Commission for Universities na Welcome to HESLB