Nisaidieni kuhusu soko la Mahindi Mombasa kwa sasa likoje?

Sumun

New Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
4
Reaction score
1
Wadau,

Nataka jua juu ya bei ya Mahindi Mombasa kwa kg 1 na ulipaji wake ukoje.

Nina Tan 32 nataka pakia.
 
naonaga wafanya biashara wengi wa mahindi mombasa huja himo kununua mzigo pale ungepata mtu pale hime angekusaidia kujua soko linavyoend aMombasa
 
Wadau,

Nataka jua juu ya bei ya Mahindi Mombasa kwa kg 1 na ulipaji wake ukoje.

Nina Tan 32 nataka pakia.

Nikihitaji gunia 100 kila wiki utaniuziaje? Uko wapi pia? Kama vipi nicheki PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…