Nisaidieni kuhusu soko la mihogo hapa nchini

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo hiki pia naomba niambiwe kuwa inauzwaje ? Ikiwa imetolewa.maganda au bila kutoa maganda.Nataka niingie serious kwenye kilimo.......
 
Tembelea masoko, fanya utafiti kweye masoko kabla ya kulima au subiri msimu wa mfungo wa ramadhani
 
Back
Top Bottom