Nisaidieni kujua hizi kozi

Nisaidieni kujua hizi kozi

navah

Member
Joined
Feb 27, 2023
Posts
7
Reaction score
3
i) C28
II) C40
III) Latra
iv) Comesa
v) Insurance
vi) Fire safety sticker

Kuna tangazo la kazi nimeona inahitaji mtu awe na mzoefu wa kazi katika vitu hivyo hapo juu. Kama kuna mtu yeyote anajua naomba anicheki tusaidiane kupeana kwownledge kama learning books and tutorial videos.
 
Back
Top Bottom