Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
mwite "shilole" kama ni wa kike!naishukuru sana jf na zaidi zaidi jukwaa hili. Nashukuru sababu jf imenisidia kupata mke na tunatarajia kupata tunda letu la ndoa hivi kalibuni. Sasa kwa kutoa shukrani na kumbukumbu ya kumpa jina mtoto wetu tumefikiria majina yafuatayo. Kama atakuwa ni mtoto wa kiume tutampajina jamii na kama atakuwa ni wa kike tutampa jina jamia.
Hata hivyo tunatoa fursa ya wanajamii kupendekeza majina ya mtoto mtarajiwa.
Nawasilisha
hayo majina yana maana gani?Mkuu hongera sana kwa kupata mke ana kutegemea mtoto hivikaribuni.
Kama hutajali, naomba nipendekeze majina haya hapa.,
Akiwa wa kiume: Aitwe Mbimbinho
Akiwa wa Kike: Aitwe Mbimbinha
Nitafurahi sana kama mtapokea ushauri wangu...)
Mimi ni mngoni mkristo na mke wangu ni mwislamu wa Tangadini gani nyie? Taja na kabila
kama ni haya people,nina azina ya majina..wasukuma na waswahili wanaita majina kama RIZIKI,HASARA,HASIRA,WIVU,GAMBOSHI,NTUJI,ASANTE,MAKOYE,NG'WANAMONIKA,NTEMINYANDA n.k
funguka dini na kabila..kama hamfuati ishu za dini wala kabila wakike muite 'SHALONI' wakiume HOPE.
Mimi ni mngoni mkristo na mke wangu ni mwislamu wa Tanga
Mimi ni mngoni mkristo na mke wangu ni mwislamu wa Tanga
vizuri sana wa kike mwite FAIZA FOXY NA KONGOSHO
vizuri sana wa kike mwite FAIZA FOXY NA KONGOSHO au MAUFONG,YUHA.YOUNG XUE,EUGEN AU EUGENIA
wangoni hatuna majina kama hayo, na mke wangu ana bifu na ukoo wa Kongosho