Nisaidieni kupanga kikosi cha Simba

Nisaidieni kupanga kikosi cha Simba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.

Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?

Nawasilisha.
 
Mbona hakuna star hata mmoja. Mabonanza FC a.k.a Wamchangani FC

Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".
 
Hamna kitu apo,kijana achana na story za magazeti ww..mm ni mwanachama hai wa simba lakini apo peupe kaa kmya kabisa...
 
Toa Fact mkuu..sio kubwabwaja

Hapo hujawaweka Raphael Kiongera

Ibrahim Ajib

Jonas Mkude
 
Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".

Funny, inakuwaje aliyemfundisha Cristiano Ronaldo yeye mwenyewe hafungi ili asajiliwe na timu za ulaya?
 
Unapanga kikosi cha simba kwani wewe kocha? Mbongo bwana......

Aya ndo matatizo ya awa watu,yn unaweka matarajio makubwa hata hujui wanatumia mfumo gani,wachezaji wengne hujui maendeleo yao,uyu kiiza alyekaa mwaka mzma bila kucheza mechi leo unamweka kikosi cha kwanza..
 
Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".

Hatukatai maana hata msemaji wenu haji alisema anaenda CHILE kumbe alikuwa hapo Tandale :beer:
 
1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.

Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?

Nawasilisha.
sema tuu si wewe ni mwandishi wa hii nakala ukisema 6-0 au 7-0 sawa .
 
wacha nijarib.na mm kupanga changu
1.aveva
2.kaburi
3.chuchu Hans pope
4.manara mzungu wa Randale
5.mkunde
6.
7.
8.
9.
10.mafugo
11.okwi the govinda
 
OFF TOPIC:
Inachekesha, wakati simba tunajenga kikosi cha ushindi ndani na nje, kule kwenye utelezi ndo kwanza wanabomoa! Kama kawa, wanapiga vyenga kwenye magazeti na kupanga jinsi ya kununua mechi zijazo!
Yanga cha mtoto sana kwa simba, simba haikuwa vizuri kwa misimu kadhaa lakini CAF bado wanatambua simba ndo kidume. Kuna takwimu fulani nilisikia redio fulani kuhusu timu bora Afrika, ktk top 300 yanga hawapo za Afrika! Kwa bongo Azam wanaongoza ikifuatiwa na mnyama! Yanga will ALWAYS be below Simba kama marefa watakuwa fair!
 
Stand United 3 Simba 0 Full Time.
Simba hatari, mara kampa yanga sita, mara tano, mara nne!
Yaani simba kila kizazi inahakikisha kinaonyeshwa LAIVU jinsi ya kumchinja yanga zile za mauaji ya halaiki!
Mimi nimeshuhudia Yanga kala tano kweupeeee, mjomba wangu kashujudia Yanga kala sita kweupeeee!!
ni shiiider!!
Wewe unaongea ya Stand iliyobebwa kwa beleko!!
 
Toa Fact mkuu..sio kubwabwaja

Hapo hujawaweka Raphael Kiongera

Ibrahim Ajib

Jonas Mkude

Mkuu Huyo Siyo Mwana Simba Mwenzetu Na Aache Kujipendekeza Kwa Wanamsimbazi Na Kama Kweli Yeye Ni Simba Mwenzetu Ataje Kadi Namba Yake Nipekue Nijiridhishe. Huyo Ni " Mwana Mafuriko " Tu.
 
OFF TOPIC:
Inachekesha, wakati simba tunajenga kikosi cha ushindi ndani na nje, kule kwenye utelezi ndo kwanza wanabomoa! Kama kawa, wanapiga vyenga kwenye magazeti na kupanga jinsi ya kununua mechi zijazo!
Yanga cha mtoto sana kwa simba, simba haikuwa vizuri kwa misimu kadhaa lakini CAF bado wanatambua simba ndo kidume. Kuna takwimu fulani nilisikia redio fulani kuhusu timu bora Afrika, ktk top 300 yanga hawapo za Afrika! Kwa bongo Azam wanaongoza ikifuatiwa na mnyama! Yanga will ALWAYS be below Simba kama marefa watakuwa fair!

wa mchangani fc aka pakashumi wa Kariakoo
 
Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".

mnaanzia na kuishia wapi?Huyo muingereza wenu mtapiga Mawe muda sio mrefu,rambirambi ya Mafisango kwanza mengine baadaye
 
Toa Fact mkuu..sio kubwabwaja

Hapo hujawaweka Raphael Kiongera

Ibrahim Ajib

Jonas Mkude

mbona sioni mchezaji hapo,bora hats like ligolikipa la Uganda life Abel Dhaira,MTU amfundishe Christiano Ronaldo kufunga magoli halafu aje kucheza Leo,maajabu ya wazee Wa chapati na kurecycle mnatsha
 
Back
Top Bottom