GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona hakuna star hata mmoja. Mabonanza FC a.k.a Wamchangani FC
Hamna kitu apo,kijana achana na story za magazeti ww..mm ni mwanachama hai wa simba lakini apo peupe kaa kmya kabisa...
Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".
Unapanga kikosi cha simba kwani wewe kocha? Mbongo bwana......
Weka Kikosi Chako Cha Hao Mastaa Wako Mkuu. Na Leo Hasnpoppe Anaenda Brazil Kumleta Striker Aliyemfundisha Christiano Ronaldo Kufunga Magoli. Simba Ya Msimu Huu 2015 / 2016 Tutakuwa Tunaingia Uwanjani Huku Tukinywa Tunakunywa Tu Mvinyo, Pombe Huku Tukitafuna Bisi Kwani Sijaona Bado Timu Itakayotufunga Na Maazimio Yetu Ya Msimu Huu Simba Ni Kwamba Timu Yoyote Tutakayokutana Nayo Goli Zetu Ndogo Tutakazowafunga Ni Kati Ya 7 au 9. Kaeni Chonjo " Wazee Wa Mafuriko ".
sema tuu si wewe ni mwandishi wa hii nakala ukisema 6-0 au 7-0 sawa .1. Ivo Mapunda.
2. Ramadhan Kessy.
3. Mohamed Hussein " Tshabalala ".
4. Hassan Isihaka.
5. Juuko Murshid.
6. Hassan Banda.
7. Said Ndemla.
8. Peter Mulyanzi.
9. Hamis Kiiza.
10. Laudit Mavugo.
11. Emanuel Okwi.
Naombeni Msaada Kama Kuna Mtu Anaweza Akakibadilisha au Tu Akabashiri Kwa Kikosi Hicho Unadhani Kikikutana Na " Wazee Wa Mafuriko " Safari Hii Watakoga Ngapi? Hivi Kwa Kikosi Hicho Kweli Simba Sports Club Haiwezi Kuwa Bingwa Ndani Ya Raundi Ya Kwanza Tu Ya Ligi Kuu Ya Vodacom Na Raundi Ya Pili Tukaishia Kuchezesha Vijana Wa Timu B Yetu?
Nawasilisha.
Mjukuu wa mzee Akilimali utamjua tu...wacha nijarib.na mm kupanga changu
1.aveva
2.kaburi
3.chuchu Hans pope
4.manara mzungu wa Randale
5.mkunde
6.
7.
8.
9.
10.mafugo
11.okwi the govinda
Stand United 3 Simba 0 Full Time.
Simba hatari, mara kampa yanga sita, mara tano, mara nne!Stand United 3 Simba 0 Full Time.
Toa Fact mkuu..sio kubwabwaja
Hapo hujawaweka Raphael Kiongera
Ibrahim Ajib
Jonas Mkude
OFF TOPIC:
Inachekesha, wakati simba tunajenga kikosi cha ushindi ndani na nje, kule kwenye utelezi ndo kwanza wanabomoa! Kama kawa, wanapiga vyenga kwenye magazeti na kupanga jinsi ya kununua mechi zijazo!
Yanga cha mtoto sana kwa simba, simba haikuwa vizuri kwa misimu kadhaa lakini CAF bado wanatambua simba ndo kidume. Kuna takwimu fulani nilisikia redio fulani kuhusu timu bora Afrika, ktk top 300 yanga hawapo za Afrika! Kwa bongo Azam wanaongoza ikifuatiwa na mnyama! Yanga will ALWAYS be below Simba kama marefa watakuwa fair!