MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
Wana JF,
Kwa mara nyingine naomba mnijuze soko la Komamanga na Njugu. Mimi ni mkulima kwa sassa nina njugu za kutosha lakini pia natarajia kuwa na kilimo kikubwa cha Komamanga mwakani. Nawaombeni mnipe mrejesho wa masoko ya mazao hayo tafadhali.
Nasubiri mawazo mwenzenu