MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
Nashukuru kwa mchango wako.....nisaidie kujua zaidi soko la tunda hili hapa ndani ya nchi kwanza...vipi kuhusu njugu, ni kweli hazina soko?Aisee Komamanga nazifagilia kweli.
Nataka nipande kwa home use nitakutafuta.
Saula la Komamanga jaribu kutafuta soko la Nje ya nchi hasa Ulaya.
Maana unajua hapa kwetu hadi atokee Mganga aseme faida ya Komamanga ndio watu watanunua teleee.
Maana mie ukiniuliza na upenzi wangu wote wa Komamanga nina mwaka wa tatu sijalila.
Nakushauri kama ukilima na ukawa na ubora wa zao lenyewe,maana Komamanga ni miongoni mwa mazao yanayoshambuliwa sana na wadudu.
Aisee Komamanga nazifagilia kweli.