Nisaidieni kupata tiba ya upele kwa mtoto wa miezi 8

Nisaidieni kupata tiba ya upele kwa mtoto wa miezi 8

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
637
Reaction score
1,532
Tumesheenda hospitali mara 3 ila na kupewa madawa ya allergy, topical creams na sabuni, dawa za mchafuko wa damu ila bado hali hii inajirudia.

Vipele vipo kwapani na miguu

Karibuni wakuu.

IMG-20240820-WA0000.jpg
 
Tumesheenda hospitali mara 3 ila na kupewa madawa ya allergy, topical creams na sabuni, dawa za mchafuko wa damu ila bado hali hii inajirudia.

Vipele vipo kwapani na miguu

Karibuni wakuu.

1: Miguuni sehemu gani?

2: Kuna mtu mwingine kwenye familia anapata muwasho kwa kipindi hiki mtoto akiwa anaumwa?

3: Ina muda gani akiwa anaumwa?

4:Nyinyi wazazi au kama mna watoto wengine, kuna mwenye tatizo la allergy?
Kama ipo ni ya kitu gani?
 
Back
Top Bottom