Nisaidieni kupata wimbo huu wadau

Nisaidieni kupata wimbo huu wadau

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada

Wimbo wenyewe unaimbwa...
"Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2
Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo
Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo
Sina kitanda nalala chini naumwa na kunguni woo wooo"

Mwingine unaimbwa...
"Ya nabi salamu alaykum,
Ya rasul salamu alaykum,
Ya habib salam alaykum,
Swalawatullahi alaykum.

Hii ya pili iliwika sana miaka hiyo nasoma shule kila mtu alikuwa anaweka mlio wa kuitia simu na ilikuwa kipande tu hivyo hivyo nilivyoweka hapo, sasa natafuta sana siipati (mwimbaji ni mdada na inaonesha ni wa kihindi maana hapo kwenye swalawatullahi anasikika kama anatamka swalevatullah)
 
Ingia youTube kwenye search bar andika baadhi ya maneno uliyoweka hapa utapata hizo nyimbo zako
 
Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada

Wimbo wenyewe unaimbwa...
"Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2
Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo
Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo
Sina kitanda nalala chini naumwa na kunguni woo wooo"

Mwingine unaimbwa...
"Ya nabi salamu alaykum,
Ya rasul salamu alaykum,
Ya habib salam alaykum,
Swalawatullahi alaykum.

Hii ya pili iliwika sana miaka hiyo nasoma shule kila mtu alikuwa anaweka mlio wa kuitia simu na ilikuwa kipande tu hivyo hivyo nilivyoweka hapo, sasa natafuta sana siipati (mwimbaji ni mdada na inaonesha ni wa kihindi maana hapo kwenye swalawatullahi anasikika kama anatamka swalevatullah)
Sasa una faida gani ya kuishi? Si ujinyonge tu?
 
Back
Top Bottom