Hapa kuna kitu kinaitwa nouns(pronouns)ngoja nijikite hapa kwenye pronouns(viwakilishi):
kuna aina kama tatu au nne za viwakilishi katika kiingerezaambazo ni 1st personal pronouns(I &we)
2nd personal pronouns(you &you)
3rd personal pronouns(he she&they) na
4th non personal pronouns (it)
hivyo basi kitenzi(verb) WILL hutumika kwa 2nd 3rd na 4th pronouns katika muktadha wa kawaida usio na msisitizo wowote,mfano
you will take all the bags back home.she will win the competetion. They will work on behalf.
Na verb shall inatumika na 1st pronouns mfano:I shall solve the matter by myself,we shall watch the game at home
ila kama una toa msisitizo wa jambo au kama ya metumika katika sheria huwa hutumika kinyume chake ili kutoa msisitizo wa jambo husika.mfano we will come on monday.she shall regret for this.naomba niishie hapa kama c jajibu vyema basi na wengine watachangia maana Elimu ni pana sana ila kama umeelewa kiasi ni furaha kwangu na kwa wengine pia.