nursing ni kama fani ya medical kwa ujumla yan kwenye nursing unasoma mambo yafuatayo.medicine,pharmacology,basic nursing,fist aid,nutrition and childhealth,anatomy and physiology,public health,midwife sasa tofauti na pharmacy wale wanasoma pharmacology tu labda na hesabu.
Mkuu nurseing ina maana ya kumlea mtoto au kumtuza mgonjwa. Lakini kama ulikuwa na maana ya nurse maana yake ni muugizi.
Pharmarcy ni uchanganyaji au utengenezaji na utayarishaji wa madawa na pia ina maana ya chumba wanachotolea dawa hospitalini. Lakini kama ulikuwa na maana ya Pharmacist ina maana ya mtu mwenye ujuzi wa kuchanganya, kutengeneza na kutayarisha madawa.