Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Binafsi sijawahi kuwaelewa, kwa mfano Raisi wa Kenya au Kiongozi wao yoyote akihutubia Taifa la Kenya anatumia English, lkn akifanya kampeni za kisiasa anatumia Kiswahili, au hata akiwa nje ya nchi na kuongea na Wakenya diaspora huo anatumia Kiswahili, sasa kwa nini? Kuna anayeweza kunisaidia hii paradox? Kwa mfano Raisi wao kaapishwa kahutubia Taifa english, lkn akiwa anatafuta kura anatumia Kiswahili, sasa kwa nini?
 
Nadhani lugha za taifa ni English na kiswahili na ana uhuru wa kuchagua nini aongee. Na pia ni kushukuru Mungu hata anaongea hizo mbili kuliko akiamua kucharanga kilugha cha nyumbani.
 
kenya ina viongozi wa ajabu-kiongozi ambae anaongea na wanaichi wake awezi kutia lugha ngeni ili hali lugha ilio ya wengi ipoo-kuna wazee ambao madkini shule awakuziona kuna wengine kwa baht mbaya awakuweza kupata kukifahmu kiengereza -huu ni u mbu mbu mbu wa kiwango cha kusto jielewa-ckweli kua wakenya wote ligha ya kimalikia wana ifahamu
 
Wewe ni mbumbumbu wa kwanza ............. Kenya wao hiyo lugha inayomshinda hata huyo kiongozi mkubwa wenu ndio lugha yao rasmi kabisa... na kwa mtu huwa anaongea English na kwambali sana kiswahili kimyume na hapo wanaongea kilugha kama huyo kiongozi wenu baada ya kiswahili cha kuchapia chapia next ni kilugha ha ha aha aha
 
Najua kwamba ana huwo Uhuru, lkn nimeuliza logic ya kufanya hivyo!

Kwa uelewa wangu wakenya wengi wanajua English na pia wakenya ni business minded people kama anatoa speech ya English basi ana lengo LA kufikisha ujumbe kwa mataifa ya nje pia ili kujua mipango yake na ili waje kuwekeza Kenya.
 
Wewe ni mbumbumbu wa kwanza ............. Kenya wao hiyo lugha inayomshinda hata huyo kiongozi mkubwa wenu ndio lugha yao rasmi kabisa... na kwa mtu huwa anaongea English na kwambali sana kiswahili kimyume na hapo wanaongea kilugha kama huyo kiongozi wenu baada ya kiswahili cha kuchapia chapia next ni kilugha ha ha aha aha

una nifundisha nini kuusu kenya mkuu-kenya naijua ndani na inje huna vyakuniambia usilishe watu tango pori kua kenya wote wanafahamu kiengerezaa c kweli fanya risachi tena ndugu-idadi ni wengi ila wasio jua kiengereza wapo-isipo kia wakenya uisi kiengereza ni cha kwao-
 
Wewe ni mbumbumbu wa kwanza ............. Kenya wao hiyo lugha inayomshinda hata huyo kiongozi mkubwa wenu ndio lugha yao rasmi kabisa... na kwa mtu huwa anaongea English na kwambali sana kiswahili kimyume na hapo wanaongea kilugha kama huyo kiongozi wenu baada ya kiswahili cha kuchapia chapia next ni kilugha ha ha aha aha
Wewe kama sio chizi basi ni mwenda wazimu, Kenya lugha ya taifa ni kiswahili, na kimetajwa katika katiba yao, wananchi wengi wa Kenya hasa vijijini hawajui kabisa kiingereza, nenda pwani kwa wadigo, waduruma, wakamba, waswahili, au nenda kaskazini kwa Pokot na turkanas, lakusikitisha hata rais wao anapohutubia taifa anatumia English, ukweli ni kwamba Kenya inamatabaka ya watu, tabaka la matajiri na walioelimika ambao wengi wapo mijini hawakipendi kiswahili, na tabaka la watu masikini wasio na elimu ambao ndiyo wengi wanaoishi vijijini na slums za mijini, hawa hutumia kiswahili na serikali haiwajali sana hawa, kwahiyo wanapotaka kura, huenda vijijini na kwenye slums na hutumia kiswahili, wanapokuwa katika ofisi kubwakubwa hutumia English
 
Binafsi sijawahi kuwaelewa, kwa mfano Raisi wa Kenya au Kiongozi wao yoyote akihutubia Taifa la Kenya anatumia English, lkn akifanya kampeni za kisiasa anatumia Kiswahili, au hata akiwa nje ya nchi na kuongea na Wakenya diaspora huo anatumia Kiswahili, sasa kwa nini? Kuna anayeweza kunisaidia hii paradox? Kwa mfano Raisi wao kaapishwa kahutubia Taifa english, lkn akiwa anatafuta kura anatumia Kiswahili, sasa kwa nini?
Kwa sababu siku ya kuapishwa huwa kuna wageni wengi wasiojua kiswahili, hata bungeni wanatumia kingereza.
 
Kwa nini Kampeni zao za kutafuta kura wanatumia English?
 
Nafikiri ni kuwapa watu wa mataifa ya nje nafasi ya wao kuelewa pia, kwa WaKenya kizungu si tatizo kama huku kwetu kwa hiyo na wao wanaelewa vizuri
Na huku kwetu tatizo la kizungu linaanzia juu mpaka chini. Fonti fedi! ni kiyunani sio kiinglish
 
Back
Top Bottom