nisaidieni kwa hil plz!!!

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
kuna ndugu yangu 1 amesoma certificate ya journalusim and mass communication sasa anataka kusoma diploma ya ki2 kingine tofaut na hiki.Je,anaweza soma nn? Na chuo kip ni kizur kwa hapa Dar?
Thaks!
 
kuna ndugu yangu 1 amesoma certificate ya journalusim and mass communication sasa anataka kusoma diploma ya ki2 kingine tofaut na hiki.Je,anaweza soma nn? Na chuo kip ni kizur kwa hapa Dar?
Thaks!

anaweza enda soma pale Gema Security Company,maelezo mengine atapatiwa,Upanga karibu na mzizima aje!!!
 
ntogwisangu, sio utu na ustaarabu kumjibu mtu kama ulivyofanya hapo. Kama unahisi kwamba huhitaji kutoa comment(s) au huna comment(s) ni bora ukae kimya tuu
Kwa bakulutu, kwa uelewa wangu watu wanaosoma hizo kozi wanakuwa wazuri sana wakifanya marketing au community development
Kuhusu vyuo ambavyo vinatoa hizo kozi, fanya utafiti na utavipata tuu
Thanks
 
anaweza enda soma pale Gema Security Company,maelezo mengine atapatiwa,Upanga karibu na mzizima aje!!!

Sio fresh mkuu, hadi mtu kaanzisha thread ujue ana shida ya maana..Ila najua utakuwa umepitiwa tu kwa leo,.Ka jamaa alivyokwambia mwambie asome marketing au sociology, mchekie CBE, MZUMBE,T.I.A (sina uhakika sana ka wanatoa MKT)
 
Anaweza soma sociology, community development, marketing, public adm, political science, international relation, bussiness adm in marketing, etc
 
Nashuru wadau kwa mawazo yenu mazuri ,na nitafanyia kazi soon.Ila we wa 'Gema security' Mungu akusamehe ujitambue zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…