Nisaidieni kwa hili jamani

jitegemee

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
25
Reaction score
0
Unataka kwenda kununua nguo dukani, nguo inauzwa shilingi 10,000, huna pesa kwa wakati huo so unaamua kukopa 5,000 kwa dada na 5,000 kwa kaka. unapoenda dukani unakuta nguo inauzwa 9,700 so unarudishiwa 300. unaamua kupunguza deni, unampa kaka shilingi 100 na dada 100 na wewe unabaki na 100. kwa hiyo kaka anabaki anakudai 4900 na dada 4900. ukichukua 4900 ya kaka na 4900 ya dada inakuwa 9800, ukiongeza na 100 yako inakuwa 9900. je mia imekwenda wapi?
 
Tukuulize ww, maana ndie uliekuwanazo hela.!
Eeh hebu 2eleze imeenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…