Nisaidieni kwa hili, mchezaji kujifunga goli 3

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Hivi kujifunga goli 3 nayo itaitwa hat trick? Je, aliyejifunga magoli hayo ataondoka na mpira? Nawasilisha
 
Hat trick ni tukio la kufunga goli tatu, haijalishi umefunga golini kwako au kwa mpinzani wako.. Hilo la kuondoka na mpira sifahamu.
 
kuondoka na mpira ni utaratibu wa mashindo sio sheria au lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…