Nayafaham yote usemayo, ila kuipambia inshu iliyoniweka darasan miaka 3 sio vibaya pia, najua nahitajika kufanya nnHuo muda wa kutaka ufanye kazi kwa kujitolea nakushauri fungua genge, au uza juice, uza chakula kwa oda, uza chips, uza vinywaj... Utapoteza muda na nguvu na utakua umejiongezea umasikini...
Ila vijana miaka hii someni course zenye uhakika wa ajira hizo course zenu mnazo zipenda hazina soko hata kujiajiri nazo hamuwez...
Nina x Wangu Alisota Sana mtaani mwisho mwisho akapata mdhamini wa kwenda chuo nilishangaa anasema nimechagua cz ya commuty development nilimsihi sana tata cz ambayo hata ukimwambia mtu akutaftie mishe ni rahisi lkn alikuwa jeuri kweli 20 jamaa yangu alimaliza pale udsm degree ya political scince asaiv yuko ng'ombe analina asali...Huo muda wa kutaka ufanye kazi kwa kujitolea nakushauri fungua genge, au uza juice, uza chakula kwa oda, uza chips, uza vinywaj... Utapoteza muda na nguvu na utakua umejiongezea umasikini...
Ila vijana miaka hii someni course zenye uhakika wa ajira hizo course zenu mnazo zipenda hazina soko hata kujiajiri nazo hamuwez...
Kila kitu huja kwa wakatiNina x Wangu Alisota Sana mtaani mwisho mwisho akapata mdhamini wa kwenda chuo nilishangaa anasema nimechagua cz ya commuty development nilimsihi sana tata cz ambayo hata ukimwambia mtu akutaftie mishe ni rahisi lkn alikuwa jeuri kweli 20 jamaa yangu alimaliza pale udsm degree ya political scince asaiv yuko ng'ombe analina asali...