Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
📌Muulize huyo mapenzi wako ,huyo mzazi mwenzie amekufa?Kama hajakufa mwache apambane mwenyewe,lakini pia kama amekufa mwambie akupeleke kwenye Hilo kaburi ukaone mwenyewe 🤣🤣🏃
Mhhh ngumu kumeza hii, ngoja wajeHabari
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Umepigwa brazaHabari

Kama hajafa tusubiri kilioMuulize huyo mapenzi wako ,huyo mzazi mwenzie amekufa?Kama hajakufa mwache apambane mwenyewe,lakini pia kama amekufa mwambie akupeleke kwenye Hilo kaburi ukaone mwenyewe 🤣🤣🏃
Aisee sikufikiria hivyo
Kivipi tenaUmepigwa braza
Kivipi tena
Ishi nae!!Habari
Kuna mwanamke nimempenda ila ana watoto wawili, kazaa na mwanaume mmoja na wameachana kitambo sana, hata huyo mwanaume hawasilianagi nao wala hatumii mahitaji ya watoto.
Naombeni msaada je niishi naye au niangalie hamsini zangu.
Nishauri nduguSiwezi kukushauri, tafakari njia zako