nisaidieni location ya heslb kwa kutokea ubungo

nisaidieni location ya heslb kwa kutokea ubungo

panda gari za kutoka ubungo to msasan halafu mwambie konda kituo cha general tyre ukishuka hapo ulizia ofisi za heslb watakuonesha coz siyo mbali na unaposhuka!
 
panda gari za kutoka ubungo to msasan halafu mwambie konda kituo cha general tyre ukishuka hapo ulizia ofisi za heslb watakuonesha coz siyo mbali na unaposhuka!
kituo cha kushukia ni TIRDO
 
Panda gari za msasani,mwambie konda akushushie kituo kinaitwa tirdo.
 
panda daladala zilizoandikwa ubungo-masaki/msasani ubungo bus stand, zinapaki kule kwa kutokea.. Utashuka kituo cha tirdo au cocacola... Utavuka barabara unaingia getini(nje kuna bango limeandikwa tirdo)..
 
Back
Top Bottom